HAYA NDIO MAJINA YA MUNGU
Kufahamu majina ya Mungu ni kitu cha muhimu sana maana
itakusaidia zaidi kujua Mungu ni nani unapomwomba unampa sifa zake sawa na hilo
jina, Mfano tunaposema JEHOVA SHALOM Bwana ni Amani yetu, unapomwita Bwana
wa amani anashuka hata mahali ambapo kulikuwa hamna amani utaona amani
inakuwepo. Kwa hiyo ni vizuri pia tujifunze maana ya majina ya Mungu wetu na
yana faida gani kwenye maisha yetu hapa duniani.
|
Mungu Mwenye Enzi Yote |
Mwanzo 15:2-8 |
|
Mungu Ututoshalezae Mungu Mwenyenzi |
Mwanzo 17:1 |
|
Bwana Mungu Wetu |
Zaburi 99:5,8,9 |
|
Mungu Mwenye Nguvu |
Isaya 9:6-9 |
|
Mungu wa Milele |
Mwanzo 21:23 |
|
Bwana Mungu Wako |
Kutoka 20:2,5,7 |
|
Mungu Aliye Juu Sana |
Mwanzo 14:18 |
|
Muumbaji wa Milele |
Mwanzo 1:1 |
|
Bwana wa Majeshi |
1Samwel 1:3 |
|
Bwana ni Haki Yetu |
Yeremia 23:6 |
|
Mungu Nikuponyae |
Mwanzo 15:26 |
|
Bwana Niwatakasae |
Kutoka 31:13 |
|
Bwana Mchungaji Wangu |
Zaburi 23:1 |
|
Mungu Atupaye /Atoaye |
Mwanzo 22:14 |
|
Bwana Aliyetuumba |
Zaburi 95:6 |
|
Bwana ni Beramu (Bendera) yangu |
Kutoka17:15 |
|
Bwana ni Amani Yangu |
Waamuzi 6:24 |
|
Bwana Yupo Hapa |
Ezekiel 48;35 |
Comments
Post a Comment