HAYA NDIO MAJINA YA MUNGU

 



Kufahamu majina ya Mungu ni kitu cha muhimu sana maana itakusaidia zaidi kujua Mungu ni nani unapomwomba unampa sifa zake sawa na hilo jina, Mfano tunaposema JEHOVA SHALOM Bwana ni Amani yetu, unapomwita Bwana wa amani anashuka hata mahali ambapo kulikuwa hamna amani utaona amani inakuwepo. Kwa hiyo ni vizuri pia tujifunze maana ya majina ya Mungu wetu na yana faida gani kwenye maisha yetu hapa duniani.
  1. ADONAI
Mungu Mwenye Enzi Yote
Mwanzo 15:2-8
  1. EL – SHADAI
Mungu Ututoshalezae Mungu Mwenyenzi
Mwanzo 17:1
  1. EL-OHEENU
Bwana Mungu Wetu
Zaburi 99:5,8,9
  1. EL- GIBBOR
Mungu Mwenye Nguvu
Isaya 9:6-9
  1. EL-OLAM
Mungu wa Milele
Mwanzo  21:23
  1. EL-OHEEKA
Bwana Mungu Wako
Kutoka 20:2,5,7
  1. EL-ELYON
Mungu Aliye Juu Sana
Mwanzo 14:18
  1. EL-OHIM
Muumbaji wa Milele
Mwanzo 1:1
  1. YEHOVA SABAOTH
Bwana wa Majeshi
1Samwel 1:3
  1. JEHOVA TSIDKEMU
Bwana ni Haki Yetu
Yeremia 23:6
  1. JEHOVA RAPHA
Mungu Nikuponyae
Mwanzo 15:26
  1. JEHOVA MEKADDISHKEM
Bwana Niwatakasae
Kutoka 31:13
  1. JEHOVA ROHI
Bwana Mchungaji Wangu
Zaburi  23:1
  1. JEHOVA JIREH
Mungu Atupaye /Atoaye
Mwanzo 22:14
  1. JEHOVA HOSEENU
Bwana Aliyetuumba
Zaburi  95:6
  1. JEHOVA NISSI
Bwana ni Beramu (Bendera) yangu
Kutoka17:15
  1. JEHOVA SHALOM
Bwana ni Amani Yangu
Waamuzi 6:24
  1. JEHOVA SHAMMAH
Bwana Yupo Hapa
Ezekiel 48;35

Comments

Popular posts from this blog

LINDA SAANA MOYO WAKO KULIKO VYOTE ULINDAVYO: JINSI YA KULINDA MOYO WAKO-I

VINYWA VYA MOYO: JINSI YA KULINDA MOYO WAKO-2

Ufanye Nini Unapoumizwa Moyo Na Watu Wako Wa Karibu/ Jinsi Ya Kupokea Uponyaji kwa Moyo Ulioumizwa